Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#RaiaTANZANIA Ujenzi bomba la mafuta asilia kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga umepangwa kuanza January mwakani pic.twitter.com/CaoNBIxMgo
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Kodi ya utalii Tanzania imezishtua nchi 30 za ulaya ambapo zimeiandikia Serikali zikiomba ifikirie upya pic.twitter.com/sCIOcafoRZ
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Rufaa kesi ya mauaji bilionea Msuya yaiva, kuanza kusikilizwa mwezi ujao, jopo la majaji watatu wateuliwa pic.twitter.com/5kn6hsp5On
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Serikali yagoma kusaini mkataba EPA kutokana na Uingereza kujitoa EU pic.twitter.com/5GByM5D0CI
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Dereva wa basi la City Boys kizimbani kwa makosa 30 ya kusababisha vifo vya abiria 30 bila kukusudia pic.twitter.com/Ci7DiCNa5w
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI DC Kahama awafungia mlango wakuu wa idara, walichelewa kikao alichokiitisha kwa ajili ya kujitambulisha pic.twitter.com/jWdjw0QI5z
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI NEC kuanza kutoa elimu kwa vijana waliozaliwa miaka ya 2000 kwa kuwa ndiyo wapiga kura wapya pic.twitter.com/GtxWO4d8uZ
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya uchakachuaji wa mafuta kutoka 78% 2007 hadi 5% mwaka huu pic.twitter.com/RbWuoh4m06
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MWANANCHI Mfumuko wa bei wafikia 5.5% mwezi June kutoka 5.2% uliokuwapo mwezi may mwaka huu pic.twitter.com/DiGtEWUQv6
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#NIPASHE Watoto wanne familia moja Dodoma wamefariki baada ya nyumba kuteketea kwa moto uliosababishwa na kibatari pic.twitter.com/97eI8mndsb
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#NIPASHE Sababu za kushamiri michepuko Dar zatajwa, imo mitego hatari ya mashosti, housegirl, dozi za supu ya pweza pic.twitter.com/gkix52Q0gr
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#MTANZANIA DC Handeni, Gondwe amewataka wafanyabiashara kuwekeza katika kilimo cha kisasa kitakachokuwa na tija pic.twitter.com/Ju0C3n1733
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
#TanzaniaDAIMA Waziri Muhongo amesema mtu yeyote TANESCO atakayesababisha uwepo wa mgawo wa umeme atafukuzwa kazi pic.twitter.com/rteadEOqL2
— millardayo (@millardayo) July 9, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI JULY 09 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI