July 15 2016 shirikisho la soka Tanzania TFF kupitia kwa makamu mwenyekiti wake wa kamati ya uchaguzi wa TFF Domina Madel limetoa tamko kuhusu mgogoro uliokuwa unaendelea ndani ya klabu ya Stand United kuhusiana, tamko la makamu mweyekiti wake wa kamati ya uchaguzi wa ya TFF limesomwa na afisa habari wa TFF Alfred Lucas.
“Kuhusu suala la Stand United katika kikao chake cha kamati ya uchaguzi wa TFF kilichofanyika July 13 2016, imrtoa msimamo wa suala la Stand United kama ifuatavyo, baada ya kupitia vielelezo vyote na kubaini kuwa jina la Stand United FC ndio jina halali na klabu hiyo na TFF imebariki uchaguzi uliofanyika”
GOLI LA MECHI YA YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1