Ugonjwa wa moyo umewakumba watu wengi hata wengine kufariki, leo Ayo TV imefanya exclusive interview na daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katika hospitali ya Jakaya Kikwete Dar es salaam Sulende Kubhoja ambaye ametusogezea takwimu ya watoto wanao zaliwa wakiwa na ugonjwa wa moyo kwa Tanzania.
Dokta Sulende amesema…>>>’Matatizo ya moyo kwa watoto ni mengi, kila watoto elfu moja wanaozaliwa kwa siku basi watoto nane hadi kumi wanazaliwa kwa siku, sasa kwa mwaka ni karibu watoto laki mbili wanazaliwa wakiwa na ugonjwa huo ‘
ULIIKOSA HII YA SAMUEL SITTA AKIZUNGUMZIA KUHAMISHWA NYUMBA YA SERIKALI