Msanii wa Bongofleva kutoka kundi la Weusi John Makini hivi karibu ameachia video ya wimbo wake mpya wa Perfect Combo aliyomshirikisha msanii wa Nigeria Chidinma, inawezekana ukawa unajiuliza namna ya collabo hiyo ilivyofanyika na Chidinma akaimba kwa kutumia lugha ya Kiswahili, Ayo TV imempata Joh Makini.
“Wimbo huu ulirekodiwa miaka miwili iliyopita tukiwa Coke Studio Kenya, sababu zilizonifanya nifanye collabo na Chidinma alikuwa mate wangu Coke Studio, wimbo nimeandika mimi sehemu ya kiswahili niliandika tukawa tunamuimbia akashika ndani kama ya dakika 20 hivi”
KAMA ILIKUPITA KAULI YA DUPY BAADA YA KUSIKIA LEGEND MASTER JAY ANAMKUBALI