Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja habari zilizoandikwa ni hii habari kwenye gazeti la Tanzania Daima yenye kichwa cha habari ‘Maziwa ya kopo ni hatari kwa watoto’
#TanzaniaDAIMA Maziwa ya kopo, ngombe yatajwa ni hatari kwa watoto chini ya mwaka mmoja husababisha kuchubuka utumbo pic.twitter.com/91V11AlYtk
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
Wazazi na walezi nchini wametakiwa kuacha kutumia maziwa ya kopo na ya Ng’ombe kwa watoto ambao hawajafikisha mwaka mmoja ili kuwanusuru katika tatizo la kuchubuka utumbo.
Ushauri huo ulitolewa jijini Dar es salaam na kaimu mkurugenzi kitengo cha afya ya uzazi na mtoto, Dk. Georgina Msemo, katika maadhimisho ya unyonyeshaji yanaayoendelea.
Dk Msemo alisema maziwa ya ng’ombe yana Casein ambayo haifai kwa mtoto mwenye umri wa kuzaliwa hadi mwaka mmoja pia alisema maziwa hayo husababisha mzio, pumu na kusema kwamba maziwa ya mama ni bora na yanayotoa kinga ya mwili kwa mtoto katika maisha yake yote.
Dk Msemo amesema ………..>>>‘Maziwa ya mama ni chakula bora kwa mtoto, kwani licha ya kumpa lishe bora pia humpatia mtoto majianayoyahitaji kwa ukuaji wake katika miezi sita ya mwanzo‘
>>>’Maziwa mazito na ya njano ambayo huitwa kolostramu yanayotoka siku chache za mwanzo humkinga mtoto dhidi ya maradhi mengi‘:-Dk Msemo
Unaweza kuzipitia hapa chini habari nyingine kubwa kwenye magazeti ya August 04 2016
#HabariLEO NECTA yatoa notisi ya kuvishushia hadhi vyuo 175, 5 vyafutwa, 41 vimepewa wiki mbili viwe vimesajili upya pic.twitter.com/M2dFoeFaRz
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#HabariLEO Wabunge watatu kesi ya rushwa ya mil 30 waachiwa huru baada ya DPP kuwasilisha hati ya kuwafutia mashtaka pic.twitter.com/j8mhVNWE3v
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI Lissu akamatwa muda mfupi baada ya kuhutubia mkutano Singida, Msigwa asema hakuna wa kumpangia cha kusema pic.twitter.com/yoeAKozhGV
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI Kitilya, wenzake wanaokabiliwa mashtaka ya utakatishaji fedha wafungua kesi ya kikatiba kunyimwa dhamana pic.twitter.com/SpXZ3PuVP0
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI DED Moshi, Emalieza Chilemeji aliyeteuliwa na JPM July 7, hadi sasa hajaripoti kituo chake cha kazi pic.twitter.com/xzibaNd7MW
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI RC Makalla apiga marufuku mikutano ya Operesheni UKUTA Mbeya iliyotangazwa na CHADEMA kuanzia September pic.twitter.com/eu49HqqKWA
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI Anayedaiwa kumweka rehani mwenzake nchini Pakistan apandishwa kizimbani mahakama ya hakimu mkazi Kisutu pic.twitter.com/Ccq07kiX0R
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI ACT Wazalendo yasema JPM kuruhusu wabunge kufanya mikutano ktk majimbo yao pekee ni kukiua chama hicho pic.twitter.com/VOvmdUr93c
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#MWANANCHI Baada ya mwanafunzi UDOM kufariki dunia, imeelezwa kuwa mwanafunzi huyo aliuawa kwa tuhuma za wizi pic.twitter.com/rRezNKxy3S
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE NECTA sasa yapokea maombi mengi ya vyeti wakiwemo watu wazima waliohitimu miaka ya 1970 na 1980 pic.twitter.com/0toRTDp61i
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE NACTE yavifungia vyuo vitano vya ufundi ikiwamo kinachogeuzwa baa baada ya masomo pic.twitter.com/gAsBjxOVdF
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE TAZARA imesema inakabiliwa na deni la trilioni 4.38 hivyo kusababisha kushindwa kutekeleza majukumu yake pic.twitter.com/y1lxFa8OwY
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE TUCTA yaitaka serikali kuondoa utata uliopo kati ya TRA, BoT kuhusu 18% ya VAT kwenye simu, huduma za benki pic.twitter.com/MnzsXPXfgV
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE Wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi, wameuawa baada ya majibizano ya risasi na polisi eneo la Kange Tanga pic.twitter.com/6exULDdrOJ
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE Mgodi wa dhahabu wa North Mara watozwa faini mil 300 kutokana na ukiukwaji wa sheria za sekta ya madini pic.twitter.com/4Az53MLfFW
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
#NIPASHE Wawili wanaodaiwa ni viongozi CHADEMA mbaroni Mbeya, 10 watafutwa kwa tuhuma za matumizi mabaya ya mtandao pic.twitter.com/hWaLOsgx7V
— millardayo (@millardayo) August 4, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI AUGUST 04 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI