Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo August 5 2016 limechezesha droo ya mechi za play off kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya, UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi za kwanza zitachezwa August 16/17 na marudiano itakuwa August 23/24.
ALL GOALS: Azam FC Vs Esperance ya Tunisia April 10 2016 (Full Time 2-1)
https://youtu.be/duzv5kA8Q-c