August 7 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @millardayo ili niwe nakutumia kila kinachonifikia.
ULIMISS HII YA RAPPER KUTOKA KENYA ANATAKA KUIFANYIA NGOMA YA DARASSA TOO MUCH ITAZAME HII VIDEO HAPA CHINI…