Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Lowassa, Odinga wakutana harusini Dar, Odinga amweleza walivyoshinikiza tume ya uchaguzi Kenya ijiuzulu pic.twitter.com/V7Smoy8uji
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#JamboLEO Taasisi za rais ktk nchi zenye viongozi waliozoeleka kuitwa madikteta zaongoza kwa kuaminika na wananchi pic.twitter.com/b1WdylYkBr
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#HabariLEO Mamlaka ya ustawishaji makao makuu 'CDA' imepokea maombi 3,500 ya watu wanaotaka viwanja Dodoma pic.twitter.com/p7bYJTI65a
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#HabariLEO Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2020 kila mwananchi anapata umeme wa uhakika pic.twitter.com/DHZSL6oFNp
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#MWANANCHI Takwimu zaonyesha maeneo yenye msongamano wa baa, nyumba za wageni yanaongoza kwa matukio ya unyanyasaji pic.twitter.com/Cstoi2dZl2
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#JamboLEO Mbaroni kwa kusali ktk mapango hatari Nyamagana Mwanza ambayo yaliwahi kutumiwa na majambazi hivi karibuni pic.twitter.com/srlMyy19Cs
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#JamboLEO Mtendaji mkuu DART amesema kituo cha kimara Baruti kipo hatua ya mwisho ya ukarabati baada ya kuharibiwa pic.twitter.com/mVz28FrA79
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#MWANANCHI Pacha waliotenganishwa warudi kuzibwa njia za haja zilizotengenezwa kwa dharura ili kuweka za kudumu pic.twitter.com/IyOtQ621s8
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#MWANANCHI Viongozi zaidi ya 40 CHADEMA kanda ya kusini wanashikiliwa na polisi kwa kufanya mkusanyiko bila kibali pic.twitter.com/J1H92OmSFE
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
#MWANANCHI Upandikizaji figo kuokoa bil 4 kila mwaka, baada ya Muhimbili kufanikiwa kufanya upasuaji mkubwa nchini pic.twitter.com/ump8DlMI4c
— millardayo (@millardayo) August 14, 2016
ULIKOSA EXCLUSIVE YA WAZIRI NAPE KUHUSU VYOMBO VYA HABARI VITAKAVYORIPOTI UCHOCHEZI? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI