Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
Moja ya stori ambayo imeandikwa kwenye magazeti ya leo ni hii ya kwenye gazeti la Nipashe yenye kichwa cha Habari ‘Maalim abanwa kumtema Lipumba’
#NIPASHE ofisi ya msajili vyama vya siasa yamtaka Maalim kujibu malalamiko ya Lipumba kuhusu kumvua uenyekiti CUF pic.twitter.com/LHHsSKNFoF
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
Habari hiyo katika gazeti la Nipashe imeelza kuwa ofisi ya msajili wa vyama vyama vya siasa imemuandikia barua katibu mkuu wa chama cha wanachi CUF MaalimSeif Sharif Hamad ikimtaka kujibu malalamiko ya aliyekuwaa mwenyekiti wa chama hicho Prof. Ibrahim Lipumba.
Aidha ofisi hiyo imeutaka uongozi wa chama hicho kueleza hatua ulizozipitia hadi kufikia uamuzi wa kumvua uenyekiti na kumsimamisha uanachama Prof Lipumba.
Ofisi hiyo imeupa uongozi wa CUF hadi kesho saa tisa na nusu alasiri kuhakakikisha imejibu barua hiyo iliyouandikia.
August 29 prof Lipumba aliwasilisha malalamiko kwenye ofisi hiyo akipinga kuvuliwa uenyekiti na kusimamishwa uanachama wa CUF.
Katika mahojiano na Nipashe jijini Dar es salaam Jana mkuu wa kitengo cha mawasiliano katika ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, Monica Laurent alisema barua hiyo iliyoandikwa kwenda kwa chama hicho August 29 mwaka huu baada ya Prof Lipumba kuwasilisha barua siku hiyo akipinga kung’olewa kwa nafasi yake kwa madai kuw ataratibu hazikufuatwa.
Monica alisema ofisi hiyo haingilii masuala ya ndani ya vyama vya siasalakini vyama vinatakiwa kufuata taratibu, kanuni na katiba zake katika kujiendesha na kufanya uamuzi kwa masuala mbalimbali.
Source: Nipashe
#NIPASHE Kitwanga aunga mkono JPM kuifufua ATCL, asema anakosoa watendaji kwa maamuzi yasiyo na maslahi kwa taifa pic.twitter.com/wl4eNURJ9g
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#NIPASHE Mbowe asema busara, hekima, heshima ya viongozi wa dini, Mama Maria ndio zilizowafanya kuahirisha UKUTA pic.twitter.com/kCbdsE1wfz
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#NIPASHE TTCL kujenga mkongo Dodoma urefu wa km 35, kukamilika November mwaka huu, wenye uwezo zaidi ya mara saba pic.twitter.com/SEYUZATLDN
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#NIPASHE Mkurugenzi mkuu wa zamani NIDA hakufikishwa mahakamani huku zikiwapo taarifa zisizo rasmi kuwa ni mgonjwa pic.twitter.com/byV4zblYkT
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#NIPASHE ofisi ya msajili vyama vya siasa yamtaka Maalim kujibu malalamiko ya Lipumba kuhusu kumvua uenyekiti CUF pic.twitter.com/LHHsSKNFoF
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Wabunge wameibana bodi ya HESLB kwa kuongeza posho na kufikia jumla ya bil 1 ktk kipindi kifupi. pic.twitter.com/L0N8NTkikG
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Eneo la Vikindu, Mkuranga waanzisha uhakiki wa nyumba kwa nyumba ili kuwabaini wakazi wote wa eneo hilo pic.twitter.com/9X1T15n1M5
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Wageni wengi wafika Rujewa, Mbeya kushuhudia kupatwa kwa jua, mara ya mwisho kutokea nchini ilikuwa 1977 pic.twitter.com/zYiI0VUEvn
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Ujerumani, China wajitokeza kujenga, hoteli za nyota tano Dom, barabara ya kulipia kutoka Dar hadi Dodoma pic.twitter.com/YbrPoyYnfu
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Mapokezi ya waziri mkuu yaliyokuwa yafanyike leo Dom yaahirishwa, sasa kuhamia baada ya vikao vya bunge pic.twitter.com/ZpYOZXyXaS
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANANCHI Mwl Geita atozwa faini 800,000 ni baada ya kupokea mil 9 za serikali akiwa katoweka kituo chake cha kazi pic.twitter.com/vwq0Z7ADP5
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#JamboLEO Kamati ya kudumu ya bunge ya miundombinu imeiagiza serikali kulipa deni la bil 9.3 inalodaiwa na TTCL pic.twitter.com/uln4w1M848
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#JamboLEO Polisi Arusha yaondoa nia ya kumshitaki Lema kugoma kula mahabusu, RPC asema alikuwa akila kupitia wenzake pic.twitter.com/dh9zxGx5zF
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#JamboLEO UTAFITI:Watoto huchelewa kuzungumza na wanajifunza maneno machache kwa sababu watu wazima hawazungumzi nao pic.twitter.com/nUb3Hc0ZIn
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#HabariLEO Wazee wa mila Mbarali, Mbeya wadai tukio la kupatwa kwa jua ni ishara ya kukubalika kwa uongozi wa JPM pic.twitter.com/R1HyWcfWJI
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#HabariLEO Waziri Maghembe asema ongezeko la VAT halijaathiri sekta ya utalii badala yake mapato yameongezeka pic.twitter.com/1IJdQOUJjQ
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MTANZANIA Sekta ya ujenzi, viwanda na usafirishaji zinaongoza kwa kuwa na ajali nyingi sehemu za kazi pic.twitter.com/KKOHcVIVal
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#BINGWA Idadi kubwa ya wafanyabiashara mabilionea yatarajiwa kujitokeza kupigana vikumbo kuidhamini Yanga pic.twitter.com/PMAhRAUFyM
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
#MWANASPOTI Wachezaji Simba kupewa motisha mil 5 endapo watafanikiwa kufunga kila mechi na kuipa ushindi timu hiyo pic.twitter.com/7cxBW5ug4i
— millardayo (@millardayo) September 1, 2016
ULIKOSA ALICHOSEMA LOWASSA KUHUSU KUSALIMIANA NA RAIS MAGUFULI? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI