Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Mfanyabiashara Revocatus Evarist afikishwa mahakama Kisutu DSM kwa tuhuma za mauaji dada wa bilionea Msuya pic.twitter.com/MrLpkbSfOQ
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#NIPASHE Polisi wafyatua risasi kutawanya wapambe wa Lipumba ambao walikuwa wakipinga kusimamishwa uanachama wake pic.twitter.com/StKAi04q9R
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#NIPASHE Waziri Mwakyembe asema mahakama ya mafisadi imeanza kazi tangu July 8 mwaka huu kwa kupokea mashauri pic.twitter.com/pVmTOypuM4
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#NIPASHE Wanachama wa chama cha msalaba mwekundu DSM wamemuomba Rais Magufuli kumulika ufisadi ndani ya chama hicho pic.twitter.com/nFKzi29ai1
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#NIPASHE TRA imekusanya trilioni 1.158 ktk kipindi cha August na kuvuka lengo la makusanyo kwa mwezi huo pic.twitter.com/hqwp1oKG5E
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#NIPASHE Arusha yajipanga kutumia kamera za CCTV kulinda mitaa kwa saa 24 kwa siku ili kuimarisha ulinzi na usalama pic.twitter.com/Y6K0daYTu5
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI Kupungua mizigo bandarini yadaiwa chanzo ni wafanyabiashara kupoteza imani, ushuru unaotozwa hautabiriki pic.twitter.com/SyKHikroKh
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI TRA imelitangaza eneo la Kariakoo DSM kuwa mkoa wa kodi ili kuongeza wigo wa vyanzo vya kukusanya mapato pic.twitter.com/uQTnD2siFt
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI Polisi wadaiwa kukamata silaha ikiwemo moja kati ya mbili zilizoporwa kwenye tukio lililotokea Mbande pic.twitter.com/yO6tBcKNQE
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI Rais wa Kenya, Kenyatta asema taarifa zinazoeleza kuwa kuna mvutano baina ya nchi hiyo na TZ ni za uongo pic.twitter.com/Hn63qN7zht
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI Waziri Mwijage asema Serikali haitafanya kosa tena kuuza mashirika ya umma ikiwamo viwanda kwa bei nafuu pic.twitter.com/ahgeL66l05
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MWANANCHI DC Gondwe awatangazia kiama watendaji matapeli wa ardhi, asema migogoro mingi inasababishwa na baadhi yao pic.twitter.com/h2eRbaYK6w
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#MTANZANIA Madaktari, wauguzi wa vipimo vya mabara 13 wadaiwa kuambukizwa TB wakihudumia wagonjwa K'njaro pic.twitter.com/gfefmHQYDz
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#HabariLEO Vijana 7,170 waliojiunga kwa kujitolea JKT wameajiriwa ktk vyombo vya ulinzi na usalama kuanzia 2010 pic.twitter.com/lprSqM1KKS
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#BINGWA Kampuni zaidi 20 zajitokeza kwenye kikao maalumu cha kujadili udhamini mpya wa klabu ya Yanga pic.twitter.com/kCRGDfDJvP
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#BINGWA Aishi Manula gumzo Afrika baada ya kuonyesha uwezo wa hali ya juu wakati Stars ilipoivaa Nigeria AFCON 2017 pic.twitter.com/Iu0Od4a9g2
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
#CHAMPIONI Kocha wa Mbeya City, Kinnah Phiri, anahaha kutaka kumsajili Mrisho Ngassa katika kikosi chake pic.twitter.com/4Bl3CZPdbK
— millardayo (@millardayo) September 5, 2016
ULIKOSA MAJIBU YA MKURUGENZI NHC KUHUSU MADAI YA KUINGIZA SIASA KWENYE SHIRIKA HILO? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI