Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo kesho September 6 2016 leo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma.
Naibu Spika Job Ndugai pia aliendesha kikao cha Kamati ya Uongozi kilichoketi kuridhia shughuli zitakazofanyika katika Mkutano wa Nne wa Bunge la Kumi na Moja unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 06 Septemba 2016.
Hapa ninazo picha tano wakati wa majadiliano hayo yalipokuwa yakifanyika..
ALICHOKIONGEA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAALIM SEIF KUKATAA MKONO WA RAIS SHEIN