Bunge la kumi na moja mkutano wa nne limeendelea tena leo September 7 2016, katika kipindi cha maswali na majibu nakukutanisha na mbunge wa viti maaalum CCM Halima Bulembo aliyehoji mpango wa Serikali kutatua tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira magumu hususani wale waliofiwa na wazazi wao.
‘Tafiti zinaonyesha serikali ya Tanzania hailijui tatizo la watoto waishio katika mazingira magumu, watoto yatima wamekuwa wakinyanyaswa mali zao na ndugu wa wazazi, sasa Serikali ipo tayari kubadili mtazamo wake kuhusu watoto waishiyo katika mazingira magumu?‘ Halima Bulembo
Kwenye hii video hapa chini majibu yamtolewa na Waziri Ummy Mwalimu pamoja na Naibu waziri Hamisi Kigwangalla ambao wanasimamia waizara ya Afya, jinsia, wazee na watoto.
ULIMIS TAARIFA YA SPIKA JOB NDUGAI KUHUSU RAIS MAGUFULI KUPITISHA MISWDA MITANO