Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Wabunge wafanya bunge liishe usiku baada ya wabunge 11 kutaka vifungu baadhi kwenye miswaada vibadilishwe pic.twitter.com/suiDcX0DOv
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#NIPASHE Kagera yatajwa kuwa na miamba laini kuliko maeneo mengine hivyo kusababisha maafa zaid tetemeko linapotokea pic.twitter.com/jYgnStSkik
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#NIPASHE Zaidi ya mil 260 zahitajika kukarabati vipande vya barabara vilivyopasuka kutokana na tetemeko Kagera pic.twitter.com/uQpRMdjVzQ
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#NIPASHE Wizara ya elimu kutoongeza fedha za kujikimu kwa wanafunzi kutoka 8500 hadi 10000 hadi itakapofanya utafiti pic.twitter.com/OjoCdhYOnG
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MTANZANIA Gavana afichua upotevu fedha mitaani asema hali hiyo imesababishwa na fedha kuhama kutoka mikono haramu pic.twitter.com/ntHvCJaBgC
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MTANZANIA UTAFITI: 96% ya vijana nchini wanapata taarifa mbalimbali lakini hawajui kinachoendelea huku 4% wakijua pic.twitter.com/KV9D5Zkj8r
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MWANANCHI Watano mahakamani Kisutu kwa kumdhalilisha Rais Magufuli na jeshi la polisi kwenye mitandao ya kijamii pic.twitter.com/bAsqjsHIxN
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MWANANCHI Serikali kuanza utafiti wa kujua viashiria na matokea ya UKIMWI ktk ngazi ya kaya mwezi october pic.twitter.com/polgpm7mZh
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MWANANCHI Ajali barabarani zaua watu tisa kila siku, ni kati ya January na June mwaka huu, pikipiki pekee zaua 430 pic.twitter.com/7DJEJMI69W
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MWANANCHI Kampuni ya EcoEnergy imeiomba Serikali kuharakisha kibali cha ufunguzi wa kiwanda cha sukari Bagamoyo pic.twitter.com/irFzrdsdLV
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#HabariLEO Baadhi ya majeruhi wa tetemeko Kagera kupelekwa DSM ktk taasisi ya mifupa ya hospitali ya Muhimbili 'MOI' pic.twitter.com/U6ZFrMMiTe
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#HabariLEO Mamlaka ya mkemia mkuu itakuwa na uwezo wa kuchunguza waliozaliwa na jinsi 2 na kubaini yenye nguvu zaidi pic.twitter.com/Pw7uTvKFaa
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#HabariLEO Waziri Mwijage amesema asali inayozalishwa nchini haina chembechembe ya sumu kama inavyodaiwa na watu pic.twitter.com/x5sdKykFjP
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#HabariLEO NIDA imesisitiza kuwa vitambulisho vya taifa, vilivyotolewa awali vitaendelea kutumika pic.twitter.com/RjdvR01PYS
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#JamboLEO TAKUKURU kigugumizi kutaja hatua itakazochukua kwa aliyekuwa mhasibu wake aliyefukuzwa kwa utajiri mkubwa pic.twitter.com/uG2P51Qc9G
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#JamboLEO NIDA kutengeneza vitambulisho mil 2.7 kwa lengo la kubadili vitambulisho ambavyo havikuwa na saini pic.twitter.com/pSNqWjrbgf
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#TanzaniaDAIMA Zaidi ya bil 96 zahitajika kwa ajili ya ukarabati wa mji wa Bukoba ulioharibika kutokana na tetemeko pic.twitter.com/0CGXZERQQM
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#NIPASHE Utaratibu wa kupiga picha bodaboda wanaovunja sheria na kupeleka TRA ili watoe taarifa za wamiliki waanza pic.twitter.com/utL0bND1P4
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#NIPASHE Utafiti wa REPOA umebaini kutokuwapo kwa usawa wa elimu, ajira na siasa hali inayofanya umaskini usipungue pic.twitter.com/lfel0ifC27
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
#MWANANCHI Kompyuta 30 zenye thamani ya mil 70 zimeibiwa kwenye shirika linaloshughulika na masuala ya UKIMWI Tabora pic.twitter.com/yiY7HZfYzF
— millardayo (@millardayo) September 15, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPT 15 2016 UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI