Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Waziri Mkuu, Majaliwa ametoa miezi 10 kwa taasisi nane za serikali na binafsi kuendeleza maeneo ziliyopewa vinginevyo kuchukuliwa pic.twitter.com/TnlAUQtl3F
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MWANANCHI Njaa iliyowakumba waasi Congo ndiyo iliyowezesha madereva kumi waliokuwa wametekwa kuokolewa kirahisi na majeshi ya nchi hiyo pic.twitter.com/zex8aEbXKI
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#JamboLEO Kampuni hewa zinazotangaza nafasi za kazi na kutapeli fedha na mali kwa wanaoomba kazi zakithiri nchini pic.twitter.com/ZIuPmCjwjh
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#JamboLEO Baadhi ya wananchi Simiyu wadaiwa kutengeneza makaburi hewa ili walipwe fidia ya maeneo hayo na kupisha miradi mikubwa ya barabara pic.twitter.com/noEzWpoKWc
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MTANZANIA Wadhamini wa Lissu waonywa na mahakama kwa kushindwa kuhakikisha Lissu anafika mahakamani siku ya kesi huku ikielezwa ni mgonjwa pic.twitter.com/8Akr4IrOus
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MTANZANIA Madiwani Arusha kumshtaki RC Gambo kwa Sekretarieti ya maadili baada ya kuagiza posho walizokuwa wakilipwa zilipe madai ya walimu pic.twitter.com/QJ5oV5NZp2
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MTANZANIA Askari tisa wa JWTZ wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya mkazi mmoja wa kata ya Chemchem manispaa ya Tabora pic.twitter.com/vcsMapfova
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MTANZANIA Ujenzi wa shule za sekondari za Ihungo na Nyakato Bukoba umeanza baada ya kuathiriwa na tetemeko la ardhi pic.twitter.com/mEGNQab8h3
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#HabariLEO Serikali kutumia chuo kikuu cha ardhi kufanikisha ujenzi wa nyumba bora za gharama nafuu za makazi kwa ajili ya watumishi Dodoma pic.twitter.com/Fc8NYZTbKC
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MAJIRA Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu DSM imemuagiza Lissu kufika mahakamani hapo October 4 mwaka huu akiwa na ushahidi wa ugonjwa wake pic.twitter.com/x6Yn5x3LoL
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MAJIRA Gavana, Msajili wa hazina kizimbani leo kueleza jinsi benki ya FBME itailipa Coast Textile bil 92 ikiwa ni utekelezaji wa hukumu pic.twitter.com/5KFU64fTvD
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MAJIRA Serikali imesema sheria ya mtandao iliyopitishwa na bunge mwaka jana imefanikiwa kurahisisha mapambano dhidi ya uhalifu wa mitandao pic.twitter.com/8lqw9iBnW9
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MWANANCHI Polisi, viongozi wa wilaya ya Handeni Tanga wameshutumiwa kutokana na tukio la nyumba 14 za wakulima na wafugaji kuchomwa moto pic.twitter.com/kSZMZpzwzI
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MWANANCHI Imeelezwa kuwa taifa limeokoa trilioni 14 kati ya July 2014 na June mwaka jana kutokana na matumizi ya gesi asilia iliyopo nchini pic.twitter.com/yqe07Hp4Za
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
#MAJIRA Serikali imesema sheria ya mtandao iliyopitishwa na bunge mwaka jana imefanikiwa kurahisisha mapambano dhidi ya uhalifu wa mitandao pic.twitter.com/8lqw9iBnW9
— millardayo (@millardayo) September 22, 2016
ULIIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV SEPTEMBER 22 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI