AyoTV imempata mshindi wa tuzo tatu za mchezaji bora wa mwezi wa Simba ambaye pia ni mshindi wa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu wa 2015/2016 Mohamed Hussein Tshabalala, katika exclusive interview AyoTV Tshabalala kaeleza historia yake ya soka.
“Mpira nilianza nikiwa na timu yangu ya Friends Rangers nikapata nafasi ya kuchaguliwa katika timu ya Under 17 ya Copa Cocacola ya mkoa wa Kinondoni nikachaguliwa timu ya vijana ya Serengeti Boys, baadae nikajiunga na Academy ya Azam FC na kupandishwa timu kubwa?
ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0