Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Serikali kutumia mashine zaidi ya 5000 za kielektroniki zilizosambazwa nchini kote ili kubaini uhalali wa vyeti vya watumishi wake pic.twitter.com/do6utZLIsj
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#NIPASHE Mahakama Kisutu yamhukumu Daktar miaka 4 jela baada ya kukiri kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwanafunzi IFM wakati akitoa ujauzito pic.twitter.com/KBvUsIqV5b
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#NIPASHE CUF imegomea hatua ya msajili wa vyama vya siasa nchini ya kumrudishia madaraka ya uenyekiti wa chama hicho taifa, Prof. Lipumba pic.twitter.com/aSO18Ocq4A
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#NIPASHE Wakazi wanaoishi kijiji cha Magula, Muheza Tanga wadai hawajahi kuona gari wala pikipiki kufika kijijini hapo tangu enzi za ukoloni pic.twitter.com/8nL2k7aidY
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MWANANCHI T.B Joshua ana utajiri unaofikia bil 30, ni miongoni mwa wahubiri watatu Nigeria wenye utajiri mkubwa pic.twitter.com/40TgOlEBxZ
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MWANANCHI Waliouza magari, kuyatupa bila kuitaarifu TRA kuyalipia kodi za matumizi ya barabara ya kila mwaka tangu walipokoma kulipa pic.twitter.com/dhOicaRY3f
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MWANANCHI Wafuasi wa Prof. Lipumba wapokonya silaha walinzi wa makao makuu ya CUF na kuvunja geti na milango ili kumwingiza kiongozi huyo pic.twitter.com/YC1J2wQh8E
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MTANZANIA Marekani yawasilisha hoja 6 baraza la haki za binadamu la UN, ikipinga mwenendo wa baadhi ya maamuzi ya Serikali ya Tanzania pic.twitter.com/0kSNkLex1M
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MTANZANIA Utekelezaji wa hukumu ya kunyongwa hadi kufa kwa aliyekuwa mrakibu wa polisi 'SP' Christopher Bageni, sasa unasubiri saini ya JPM pic.twitter.com/2xJtMqRXwG
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#JamboLEO Askofu wa Anglikana, Dayosisi ya Victoria Nyanza atakiwa kujiuzulu kwa kumsikiliza mkewe zaidi kuliko wachungaji, wazee wa kanisa pic.twitter.com/vOEQTPHeXl
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#JamboLEO Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa, michezo, imepanga kuhamishia ofisi zake uwanja wa Taifa ili kuepuka kulimbikiza madeni ya NHC pic.twitter.com/PrH4IocK6k
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#NIPASHE Polisi walazimika kuongeza nguvu ktk viwanja vya mnazi mmoja DSM kulinda maelfu ya wananchi waliofurika kwaajili ya kupima afya zao pic.twitter.com/XCcc82b02h
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#NIPASHE Tiketi za elektroniki kujaribiwa leo Taifa kwenye mchezo kati wabunge ambao ni mashabiki wa simba na wale wa Yanga pic.twitter.com/VJB54rS9ks
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MWANANCHI Uhakiki wa watumishi hewa sasa kwenda sambamba na utoaji wa vitambulisho vipya vya Taifa kwa watumishi wa umma pic.twitter.com/fjWanVWPNE
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
#MWANANCHI Mahakama Kagera imewahukumu watu watatu kifungo cha maisha jela kwa makosa manne yanayohusiana na uchomaji wa makanisa pic.twitter.com/zg8SH30n66
— millardayo (@millardayo) September 25, 2016
ULIKOSA HAYA MAPOKEZI YA PROF.LIPUMBA OFISI YA MAKAO MAKUU YA CUF? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI