Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Wawili akiwemo ofisa TRA wamefikishwa mahakama ya kisutu DSM kwa tuhuma za kukutwa na meno ya tembo ya bil 4 pic.twitter.com/KljjsXHpHx
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#NIPASHE Lipumba atishia kuwafikisha mahakamani viongozi wote wanaodai ni kamati tendaji ya CUF ikiwa wataendelea kung'ang'ania madaraka pic.twitter.com/iJvGKphVLm
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Prof. Lipumba asema ataendelea kushirikiana na UKAWA kwenye masuala ya maadili lakini si kwa kwa kumuunga mkono Edward Lowassa pic.twitter.com/81a0FeKhzE
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Serikali wilayani Urambo imeteketeza nyumba 100 zilizokuwa zimejengwa kinyemela ktk misitu ya hifadhi ya wanyapori ya North Ugala pic.twitter.com/uNPRESh2Yx
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANANCHI JPM ashuhudia tatizo la mita za kupimia mafuta likiendelea bandari ya DSM ikiwa ni miezi 7 baada ya Waziri mkuu kushughulikia pic.twitter.com/6kvc1sYSX6
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANANCHI Maalim Seif atua Z'bar, sasa kuhudhuria kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa la CUF leo pic.twitter.com/B0ZqhJaphS
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANANCHI Manispaa ya Dodoma yaanza mchakato wa kuweka taa za barabarani ktk maeneo mbalimbali ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu pic.twitter.com/TNZmeVsGvI
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANANCHI CAG,NSSF wakagua vitabu vya fedha za Uhuru Media ikiwa ni siku saba tangu wafanyakazi walipoishtaki bodi ya wakurugenzi kwa JPM pic.twitter.com/TTpuOtBSSA
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANANCHI Waziri Mkuu awasimamisha kazi maofisa misitu wanne, asitisha uvunaji magogo Rufiji Pwani baada ya kutoridhishwa na usimamizi wake pic.twitter.com/efI4WDMTS1
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#JamboLEO Prof.Lipumba ametangaza kujitenga na UKAWA, akisema kwa sasa hana nafasi, bali ana kazi ya kukijenga upya chama chake cha CUF pic.twitter.com/ZUXHLj58lr
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#JamboLEO JPM aagiza mazungumzo ya kurekebisha mkataba wa kampuni ya kimataifa ya kuhudumia shehena ya kontena bandarini ili uwe na tija pic.twitter.com/FEZdfgFcLI
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#NIPASHE Imeelezwa watoto 4,000 wanazaliwa kila mwaka na tatizo la kichwa kikubwa, mgongo wazi, 500 tu ndio wanafikishwa hospitalini pic.twitter.com/1jKDGhLCXo
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Polisi Mbeya yasitisha kwa muda mazishi ya aliyekuwa askari Arusha baada ya kuona bendera ya CHADEMA ktk msafara wa mazishi pic.twitter.com/tk2GUkVTi3
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Waziri Mhagama atoa simu saba kwa taasisi za serikali, wizara, makampuni kuhakikisha wanalipa madeni wanayodaiwa na NSSF pic.twitter.com/dJygF0vtA5
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#NIPASHE Upimaji wa afya bure DSM umegubikwa na changamoto ya ukosefu wa baadhi ya vifaa hasa vipimo vya figo pic.twitter.com/kTsAO12GQA
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Rais Magufuli ametoa miezi miwili kwa mamlaka ya bandari Tanzania 'TPA' kununua mashine nne za kukagulia mizigo bandarini pic.twitter.com/eVbBXYH7SZ
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Polisi mmoja Tabora adaiwa kumuua mpenzi wake aliyekuwa mwalimu shule ya msingi Westland Tabora kwa kumpiga akiwa mjamzito pic.twitter.com/kli9r1vB5F
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MTANZANIA Majumba DSM yadaiwa kukosa wapangaji, yadaiwa wengi wanayakimbia kwa 'ughali' pic.twitter.com/V4gl1YEBdv
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#UHURU Wakati JPM akishikilia msimamo wa kutosaini mkataba wa EPA na EU mpaka dosari zitakaporekebishwa, baadhi ya wabunge EU waunga mkono pic.twitter.com/UXSesGN86e
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
#MWANASPOTI Utafiti wa mwanaspoti umebaini kuwa ktk kipindi cha miaka 10 Yanga haijawahi kukutana na Simba ikiwa imetoka kupoteza mchezo pic.twitter.com/c5uWM3C4bg
— millardayo (@millardayo) September 27, 2016
ULIKOSA HII ZIARA YA RAIS MAGUFULI KWENYE BANDARI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI