Leo September 26, 2016 mtu wangu nafahamu utakua unayajua majiji mengi kutoka kwenye nchi tofauti tofauti na huenda umeshatembelea huko au kwa kuyaona kwenye picha, Sasa leo nakusogezea hapa list ya Majiji yaliyotajwa na taasisi ya The Mastercard’s Global Destination Cities Index ikiyaweka kwenye majiji yanayotembelewa zaidi duniani.
List hii imetoka baada ya kukusanya taarifa za majiji hayo za miaka Saba kuanzia mwaka 2009 mpaka 2016. Bara la Asia limechukua headlines kwa kuingiza Majiji 11, wakati hakuna jiji lolote lililoingia kutoka Bara la Afrika.
Hii ndio List kamili ya majiji 20 yaliyotajwa kutembelewa zaidi duniani.
20. Prague, Jamhuri ya Czech
Jiji hili limetajwa katika nafasi ya 20 likiwa idadi ya watu Milioni 5.81 wanaolitembelea kika siku.
19. Shanghai, China
Hutembelewa na watu Milioni 6.12 kwa siku.
18. Vienna, Austria
Hutembelewa na watu Milioni 6.69 kila siku.
17. Osaka, Japan
Hutembelewa na watu Milioni 7.02 kila siku.
16. Roma, Italy
15. Taipei, Taiwan
Hutembelewa na watu Milioni 7.35 kila siku.
14. Milan, Italy
Hutembelewa na watu Milioni 7.65 kila siku.
13. Amsterdam, Uholanzi
Hutembelewa na watu Milioni 8 kila siku.
12. Barcelona, Hispania
Hutembelewa na watu Milioni 8.2 kila siku.
11. Hong Kong, China
Hutembelewa na watu Milioni 8.37 kila siku.
10. Seoul, Korea Kusini
Hutembelewa na watu Milioni 10.2 kila siku.
9. Tokyo, Japan
Hutembelewa na watu Milioni 11. 7 kwa siku.
8. Istanbul, Uturuki
Hutembelewa na watu Milioni 11.95 kila siku.
7. Kualar Lumpur, Malaysia
Hutembelewa na watu Milioni 12.02 kila siku.
6. Singapore
Hutembelewa na watu Milioni 12.11 kila siku.
5. New York, Marekani
Hutembelewa na watu Milioni 12.75 kila siku.
4. Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu
Hutembelewa na watu Milioni 15. 27 kila siku.
3. Paris, Ufaransa
Hutembelewa na watu Milioni 18.03 kila siku.
2. London, Uingereza
Hutembelewa na watu Milioni 19.88 kila siku.
1. Bangkok, Thailand
Hutembelewa na watu Milioni 21.47 kila siku.
ULIMISS MTOTO ALIYELAZIMISHWA KUOLEWA JINSI ALIVYOTOKA? TAZAMA VIDEO HII