Tunajua kwamba Rais John Pombe Magufuli alitangaza kwamba hivi sasa ni lazima serikali yake yote ihamie makao makuu ya nchi ambayo ni Dodoma, tukamsikia pia Waziri mkuu Kassim Majaliwa akitangaza bungeni ratiba rasmi ya serikali ikiwemo baadhi ya wizara kuanza kuhamia ambapo leo September 30 2016 Waziri mkuu Majaliwa alipanda ndege kuelekea Dodoma kwa ajili ya kuanza makazi mapya.
Hapa ninazo picha nane za kutokea uwanja wa ndege Dodoma akiwa na familia yake kisha kupokelewa na wananchi mbalimbali ikiwa ni ishara ya upendo..
Picha zote na James Msofe
ULIMIS WAZIRI MKUU MAJALIWA ALIVYOHAMIA NA FAMILIA YAKE DODOMA LEO