Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#MWANANCHI Watafiti Dodoma wauawa kwa kukatwa mapanga na kisha kuchomwa moto baada ya yowe iliyopigwa na wanawake wakidai ni wanyonya damu pic.twitter.com/6UTV07dMsx
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#MWANANCHI Chama cha ACT Wazalendo kimepanga kuwasha moto mjadala wa katiba mpya ktk mkutano wake October 8 2016 DSM pic.twitter.com/k4vWl5fDdx
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#MTANZANIA Maalim Seif amemwandikia barua msajili wa vyama, Jaji Mutungi kupinga kile alichokiita kumtambua Lipumba kama mwenyekiti wa CUF pic.twitter.com/Xp6wK5QN3r
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#MTANZANIA Serikali ya burundi imewataka wakimbizi wanaoishi nchi mbalimbali kurudi nchini mwao kwa sababu hali ya usalama ni nzuri pic.twitter.com/toSEec9BdN
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#MTANZANIA Waziri Mkuu ameagiza kupatiwa orodha ya wadaiwa sugu wa taasisi zote Dodoma ambao wamelimbikiza deni la bil 1.4 za bili ya maji pic.twitter.com/9292uMn2yc
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#HabariLEO Takwimu zinaonyesha idadi ya waliopima VVU DSM wanawake wanaongoza kuwa na idadi kubwa ya walioambukizwa ukilinganisha na wanaume pic.twitter.com/beomoXoofh
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#HabariLEO Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa kuweka huduma ya internet kwa njia ya Wi-Fi bure DSM pic.twitter.com/7MLQ1ikm81
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#NIPASHE Imebainika kuwa si rahisi kwa mwenye cheti feki kuvuka 'kigingi' cha maswali yanayoulizwa na wanaohakiki taarifa za vyeti NECTA pic.twitter.com/VspYhN48vb
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#NIPASHE Watafiti watatu wauawa, miili yateketezwa kwa moto Dom baada ya mchungaji kuwatangazia wananchi kuwa wameingiliwa na wanyonya damu pic.twitter.com/gVHU7ugTYE
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
#NIPASHE Serikali imezipiga marufuku Simba na Yanga kuutumia uwanja wa Taifa kwa muda usiojulikana kutokana na uharibifu wa miundombinu pic.twitter.com/Xh1pyT7vBX
— millardayo (@millardayo) October 3, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 3 2016? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA