Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimezikusanya na waweza kuzipata huko.
#MWANANCHI Mfalme wa Morocco awasili nchini akiwa na msafara wa ndege tano zilizobeba vifaa vyake, ikiwamo kitanda na mazulia ya kifalme pic.twitter.com/cV6LwmcpRM
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Gari la askari wa JWTZ Kaptein Dallu laibwa likiwa na mtoto wake '3' ndani baada ya kumuacha ndani ya gari ili aingie buchani pic.twitter.com/nJP0e0WZ6x
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Maalim Seif atoa tuhuma nzito kuwa kuna njama za kumkamata, kumpulizia sumu itakayomuua taratibu, hakutaja wanaotaka kufanya hvyo pic.twitter.com/nI0JJrvVyX
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Mfumo mpya wa udahili kupitia TCU, utawanyima nafasi za masomo zaidi ya Watanzania 9,000 ambao wangejiunga chuo kikuu huria pic.twitter.com/0p0sonZe6H
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Watu wa kabila la Wahadzabe wanaoishi kijiji cha Kipamba Singida kupata ajira za muda ktk miradi itakayoanzishwa eneo hilo pic.twitter.com/UYnniaRU7w
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#NIPASHE Serikali Kilwa, Lindi imewataka wote waliohusika kuchukua meno ya samaki aliyekutwa amekufa kuyarejesha ili yahifadhiwe makumbusho pic.twitter.com/G31MyMyoC0
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Wakati taarifa za uhaba wa dawa zikiendelea kusikika,Taasisi ya saratani ya Ocean Road yasubiri fungu la bajeti iliotengewa pic.twitter.com/bLvLRxHOfs
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#NIPASHE Askari wa JWTZ, Latifa Juma ametiwa mbaroni kwa tuhuma za wizi wa kichanga chenye umri wa miezi miwili pic.twitter.com/1ytBAJhHo4
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#NIPASHE Mabadiliko ya tabia, mila, silka na utamaduni kwa vijana yametajwa kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la talaka visiwani Zanzibar pic.twitter.com/6LBaqWDcO2
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#NIPASHE Kituo cha polisi Mapinga Bagamoyo lawamani baada ya kudaiwa kusababisha kifo cha mtuhumiwa wa wizi wa kuku pic.twitter.com/FEmvMbQG5v
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#NIPASHE Wakati serikali ikipambana kufufua, kujenga viwanda, imeelezwea kuwa Mwalimu Nyerere alianzisha viwanda 414 wakati wa utawala wake pic.twitter.com/86fXHsa2NL
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MTANZANIA CCM yafanikiwa kushinda umeya Manispaa ya Kinondoni DSM, huku vyama vya UKAWA vikitangaza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo pic.twitter.com/WDnjsMYbHG
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MTANZANIA CWT Kaliua, Tabora kutangaza mgogoro kati yake na mwajiri kwa kile walichodai kuwanyima walimu fursa ya kujiendeleza kimasomo pic.twitter.com/IHvPBfpJq5
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MTANZANIA Sakata la mali za chama kikuu cha ushirika Nyanza, Serikali yajiandaa kuwafilisi wote waliojinufaisha na mali za chama hicho pic.twitter.com/ZfnHoSqEOY
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#HabariLEO Serikali kuwabana wanafunzi wanaopewa mikopo ktk fani za kipaumbele, kutumikia ktk utumishi wa umma nchini kwa muda fulani pic.twitter.com/Wi9C9nZ8CX
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#DIMBA Simba yajipanga kufanya usajili utakaotingisha, baada ya kuanza mazungumzo ya kumrudisha Okwi pia yajipanga kumsajili Kipre Tchetche pic.twitter.com/CDTBs115Dp
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MWANANCHI Mkuu wa shule Kasamwa Sec, Geita ashushwa cheo baada ya kutaka kuzuia wanafunzi wa klabu ya JPM kuvaa sare za CCM kwenye mahafali pic.twitter.com/wKRGUb1Vlk
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
#MTANZANIA Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imepiga marufuku wanasiasa kutumia nyumba za ibada kwa shghuli za kisiasa visiwani humo pic.twitter.com/JAoPjb8vps
— millardayo (@millardayo) October 24, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA AYO TV OCTOBER 24 2016? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI