Ajali za Barabarani zimekuwa zikipoteza maisha ya wananchi wengi kila siku huku wengine kupata ulemavu wa kudumu. Leo October 25, 2016 Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Hamad Masaudi imetoa mkakati ili kupunguza ajali hizo.
Naibu Waziri Eng. Hamad Masauni amesema kuwa mkakati huo utahusikana na kuchukua hatua kali kwa askari ambao watahusika na masuala ya ukaguzi wa vyombo vya usafiri, madereva pamoja na wamiliki wa magari yatakayohusika kwenye ajali.
Kwa mujibu wa Naibu Waziri Masauni amezitaja wilaya za Ilala na Kinondoni kuwa zinaongoza kwa ajali nchi Tanzania.
Ayo TV inakuletea taarifa kamili ya Naibu Waziri Hamad Masauni wakati akizungumzia mikakati ya Serikali juu ya ajali za Barabarani.
ULIPITWA NA KAULI YA WAZIRI CHARLES MWIJAGE KUHUSU KUWA PANYA ROAD ENDAPO HAKUANZISHWA VIWANDA? NIMEKUWEKEA HAPA