Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa habari 10 kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Takwimu zinaonyesha kuna idadi kubwa ya wanafunzi wanaotemwa vyuoni 'discontinuation' kwa sababu mbalimbali ikiwemo ufaulu hafifu pic.twitter.com/d1YDqol7g5
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE Rais John Magufuli amesema siri ya kuteua wanajeshi wengi ni kutaka kuingiza serikalini nidhamu ya askari hao pic.twitter.com/RG6qxRhOTu
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE TPDC imesema itaunganisha miundombinu ya gesi asilia na mitambo ya kufua umeme ya kiwanda cha saruji cha Dangote kufikia mwezi ujao pic.twitter.com/9sjEGkRBYW
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE Utafiti uliofanywa Marekani umebaini kwamba mfumo wa maisha mtaani una maana kubwa kwa mazingira ya watu, hata wakawa na umri mrefu pic.twitter.com/Te8oGABZXo
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE Utafiti ambao majaribio yake yalifanyika kwa nyani umebaini kuwa kadri hadhi ya mtu inavyoshuka ndivyo kinga zake mwilini zinashuka pic.twitter.com/zHf3nRBarb
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE Wanawake 638 wilaya ya Kahama, wamefanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia tangu January hadi November mwaka huu pic.twitter.com/kfNpuSHeyg
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE Wanafunzi shule ya sekondari Miswaki wilaya ya Bariadi wakosa masomo baada ya kutakiwa kuchimba shimo la choo cha shule pic.twitter.com/EzDQR7toLL
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#NIPASHE NHC imesema kwa mara ya kwanza Serikali imelipa madeni ya pango ya bil 6, yasisitiza wasiolipa madeni kuondolewa ktk nyumba zake pic.twitter.com/YcaAfthze7
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#MWANANCHI Zaidi ya nusu ya wanafunzi waliofaulu mitihani ya darasa la saba wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza pic.twitter.com/rSKowUKA7e
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
#MTANZANIA UTAFITI: Uhusiano baina ya mwanamke mwenye umri mdogo na mwanaume umri mkubwa huwa na kiwango cha chini cha matumizi ya Kondomu pic.twitter.com/UxqiS56MB9
— millardayo (@millardayo) December 1, 2016
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA DECEMBER 1 2016 KUTOKA AYO TV? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI