Shirika la Open Society Initiative for Eastern (OSIEA) limefanya utafiti juu ya uelewa wa Watanzania kuhusu katiba iliyopo sasa, Utafiti huo umefanyika kwenye mikoa 20, 15 ni ya Tanzania bara na mitano ya Zanzibar.
Akizungumza kuhusu matokeo ya utafiti huo Haron sungusia ambaye ni Mwanasheria wa kujitegemea na mtafiti amesema asilimia 50 ya watanzania hawajawahi kuiona katiba ya sasa, pia asilimia 14 ya watanzania hawajui kama katiba ipo. Unaweza kuangalia video hapa chini.
VIDEO: Watuhumiwa mauaji ya Bondia Mashali wafikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza, Bonyeza play hapa chini
AyoTVMAGAZETI: Chanzo msajili wa hazina kutemwa, Ajira 70,000 serikalini zaanikwa, Ungana na Alice Tupa kwenye video hapa chini