Muda mfupi baada ya star wa soka duniani Christiano Ronaldo kutangazwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or 2016, nimeipokea list kutoka jarida la watu maarufu duniani “Forbest” ikiwataja Wanamichezo 20 wa Muda Wote wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani.
Kwenye list hiyo imewajumuisha wapinzani wawili Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ambao wamekutana kwenye Forbes List wakiwa na mastaa wengine kama David Beckham, Michael Jordan, Tiger Woods na Floyd Mayweather.
Nyota kutoka Barcelona, Messi yuko nafasi ya 17 wakati hasimu wake mkubwa Ronaldo “CR7” akiwa kwenye nafasi ya 14.
Hapa nimekuwekea FULL LIST ya mastaa wa michezo wanaolipa zaidi duniani kwa mujibu wa FORBES
1. Michael Jordan (£1.35 billion)
2. Tiger Woods (£1.31 billion)
3. Arnold Palmer (£1.07 billion)
4. Jack Nicklaus (£914 million)
5. Michael Schumacher (£794 million)
6. Kobe Bryant (£612 million)
7. Floyd Mayweather Jr. (£608 million)
8. Phil Mickelson (£604 million)
9. David Beckham (£580 million)
10. Shaquille O’Neal (£556 million)
11. Mike Tyson (£544 million)
12. Greg Norman (£540 million)
13. Lebron James (£508 million)
14. Cristiano Ronaldo (£493 million)
15. Roger Federer (£477 million)
16. Alex Rodriguez (£477 million)
17. Lionel Messi (£413 million)
18. Jeff Gordon (£409 million)
19. Oscar De La Hoya (£405 million)
20. Manny Pacquiao (£389 million)
VIDEO: Magoli yote na Highlights za mechi ya Yanga na JKU iliyochezwa December 10, 2016 (Full Time 0-2)