Kila siku asubuhi huwa nazisogeza headlines zilizobebwa kwenye kurasa za Magazeti ya Tanzania, Uchambuzi wa stori zote napandisha kwenye account yangu ya Twitter >>>@millardayo. Tayari nimekuwekea hapa habari kubwa za leo kutoka kwenye magazeti ya Tanzania, waweza kuzipitia hapa chini moja baada ya nyingine.
#NIPASHE Zaidi ya wahitimu 400 shahada ya ualimu chuo kikuu cha Kikatoliki Mwenge Moshi wazuiwa kuhitimu kwa madai hawajalipiwa ada na HESLB pic.twitter.com/4DuHMivhKw
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#NIPASHE Madaktari hospitali ya mkoa wa Morogoro wameokoa maisha ya aliyechomwa mkuki mdomoni na kutokea nyuma ya shingo, baada ya upasuaji pic.twitter.com/srj6cp4s6E
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#NIPASHE BoT imewataka Watanzania kupuuza taarifa zinazodai noti ya sh 500 haitatumika kuanzia December 31 mwaka huu pic.twitter.com/KRbHSfh9QM
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI 2016 ulikuwa mwaka wa mtifuano sekta ya elimu
1.Mjadala kigezo cha kuingia chuo
2.Majoho
3.Kufutwa kwa GPA
5.Utumbuaji
6.Uhakiki pic.twitter.com/ZQjLBnMOLG
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI Tume ya haki za binadamu imelitaka jeshi la polisi kuacha kuziweka hadharani picha za madereva wanaotuhumiwa kukiuka sheria pic.twitter.com/4zJ0lGFkxw
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI Ajali ya pikipiki Kibiti yaua mume, mke, mmoja ajeruhiwa, pikipiki ilikuwa imebeba watu watatu walikuwa wakienda kwenye zahanati pic.twitter.com/k2fEphGqQW
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#JamboLEO Kesi nzito zilizotikisa 2016
1.Kesi ya Kitilya
2.Lipumba na Maalim Seif
3.Melo
4.Lissu
5.Mpemba wa Magufuli
6.Bilionea Yusufuali pic.twitter.com/R059fN1HhY
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MTANZANIA Serikali imewaagiza waganga wakuu wa mikoa wa hospitali zote kuhakikisha wanaingiza chanjo ya nyoka ktk mfumo wa dawa za dharura pic.twitter.com/8k4nGG2qJu
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#UHURU Mkulima Agustino Mtitu amenusurika kifo baada ya kuchomwa mkuki mdomoni na kutokezea shingoni, wengine wanane wamejeruhiwa Morogoro pic.twitter.com/2JePA2HfNW
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#TanzaniaDAIMA ACT hatarini kufilisiwa ikiwa watashindwa kulipa deni la zaidi ya mil 300 walizochukua kusaidia kampeni za uchaguzi mkuu 2015 pic.twitter.com/sneL7X53Z2
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#TanzaniaDAIMA Kituo cha mabasi Ubungo 'UBT' kimeanza utaratibu wa kuwapa risiti wateja wote wanaotumia vyoo vilivyopo ktk kituo hicho pic.twitter.com/NkaFiOAYY6
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#GazetiUWAZI Mwanamke mmoja mkazi wa Bariadi Simiyu ametoroka kwake na kukimbilia DSM akidai kuna nduguye anataka kumtoa kafara ya utajiri pic.twitter.com/atNcmX0P7z
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#HabariLEO Genk anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta imetangaza kumtupia virago kocha mbelgiji, Peter Maes baada ya kupata matokeo mabaya pic.twitter.com/qxUUXDGu5G
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI Idadi ya waliokufa ajali iliyoua padri Geita yaongezeka na kufikia saba, baada ya majeruhi aliyekuwa akipatiwa matibabu kufariki pic.twitter.com/XpQsao1zhZ
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI Nahodha wa Chelsea, John Terry akataa ofa ya kwenda China, ataka kubaki kuisaidia Chelsea ktk msimu huu pic.twitter.com/QJSlUCSv2b
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#MWANANCHI Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema yupo makini kutoruhusu mashabiki kumzomea kama ilivyokuwa msimu uliopita pic.twitter.com/VCtpyxDPOJ
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
#NIPASHE Serikali Geita kufuta vibali vyote vya muda vya waganga wa tiba asilia, tiba mbadala walivyopewa ili kudhibiti waganga wapiga ramli pic.twitter.com/fFsZ7QzGKP
— millardayo (@millardayo) December 27, 2016
AyoTVMAGAZETI: Upasuaji wa kihistoria aliyechomwa mkuki mdomoni, Kesi 10 nzito zilizotikisa 2016, Bonyeza play hapa chini
Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE