Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutaja orodha ya baadhi ya wanaotuhumiwa kutumia na kuuza dawa za kulevya, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Ernest Mangu leo February 4 amezungumza kuhusu askari wanatuhumiwa kujihusisha na uhalifu huo.
Amesema hatua kadhaa zimeshachukuliwa ikiwemo kuwasimamisha kazi Askari hao na wanaendelea na uchuguzi kwa watuhumiwa wengine wakiwemo watu maarufu waliotajwa ili kuthibitisha tuhuma zinazowakabili.
Unaweza kutazama hapa chini alichozungumza IGP Mangu mbele ya Waandishi
— millardayo (@millardayo) February 4, 2017
Ulikosa? Paul Makonda kuhusu kilichoendelea na kinachofatia kuhusu dawa za kulevya, Bonyeza play hapa chini