Baada ya jana Kamishna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro kutoa taarifa iliyodai kuwa mpaka sasa wamewakamata Watuhumiwa 112 kwa tuhuma za dawa za kulevya, leo February 7 2017 baadhi ya watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya mkazi kisutu.
Wasanii na baadhi ya watu wanaoshikiliwa na kituo cha polisi kati kwa tuhuma ya dawa za kulevya wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pic.twitter.com/J6tdH6doUL
— millardayo (@millardayo) February 7, 2017
FULL VIDEO: MAAGIZO MATATU YA PAUL MAKONDA LEO FEB 6 2017