Baada ya ujumbe ambao ulisambaa kwenye mitandao ya kijamii ukidai kuwa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifamba kudaiwa atazungumza na Waandishi kuhusu ishu mbalimbali ikiwemo Wasanii waliopiga kampeni CCM kuwa hawakulipwa.
Leo February 28 2017 Simon Mwakifamba amekutana na waandishi wa habari na kukanusha kuhusika kuandaa na kusambaza ujumbe huo na ameyazungumza haya.
“TAFF si chama cha siasa na usajili wetu sisi hatujapata kwa msajili wa chama, suala lakisiasa kwenye vyama vyetu havipo lakini wanachama wetu hawafungwi kuwa mwanachama wa chama chococte cha kisiasa Tanzania ila kwa mujibu wa katiba haturuhusu siasa kwenye shirikisho ziletwe kwenye shirikisho“-Simon Mwakifamba
Simon Mwakifamba Rais wa shirikisho la filamu Tanzania anaongea na waandishi wa habari https://t.co/npETJ2VmWA
— millardayo (@millardayo) February 28, 2017
FULL VIDEO: Steve Nyerere atokwa machozi, aongelea simu ya Mama Wema? Bonyeza play hapa chini kutazama