Moja kati ya stori za soka zilizotrend katika social network leo ni kuhusiana na beki wa kimataifa wa Togo anaichezea Dar es Salaam Young Africans Vincent Bossou kugoma kuendelea kichezea Yanga ili alipwe malimbikizo ya mishahara yake ya miezi minne.
Taarifa za Bossou kugoma kuichezea Yanga zimejulikana leo kupitia ukurasa wake wa instagrama baada ya kukosolewa na shabiki baada ya kupost picha ya viatu ndipo alipojibu comment ile na kueleza kuwa adai mshahara wa miezi minne. AyoTV imempata katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa aeleze ukweli wa madai hayo
ALL GOAL: SIMBA VS YANGA FEBRUARY 25 2017, FULL TIME 2-1