Baada ya Serikali kuunda kikosi kazi ambacho kilikuwa ni maalumu kwa ajili ya operesheni ya kuwasaka watengenezaji wa pombe kali aina ya viroba amabzo zimepigwa marufuku. Ayo TV na millardayo.com imezungumza na Waziri wa Mazingira na Muungano, January Makamba ambapo ameeleza changamoto walizozipitia wakati operesheni.
>>“Ushawishi wa jambo hili kutofanikiwa ni mkubwa lakini kwa sababu dhamira ya Serikali ilitolewa mapema kwa mwaka sasa na mawasiliano yetu kwa umma yalikuwa wazi na hayakusukumwa na umaarufu binafsi“-January Makamba
‘Hata mke wangu sasa wanasema sio raia’- Paul Makonda, Bonyeza play hapa chini kutazama