Leo March 30 2017 nimekusogezea picha za moja kati ya Hoteli maarufu ambazo watu wangu wanaosafiri kwa basi kuelekea Moshi – Arusha mpaka Nairobi kutoka Dar es Salaam hujipatia chakula wakati wa safari. Hii Hotel inaitwa Kilimanjaro Motor Fast Food ipo maeneo ya Korogwe mkoani Tanga.
Ulipitwa na magazeti ya Leo March 24 Bonyeza Play kutazamhapa hakisomwa na Alice Tupa>>>