Mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeanza leo Dodoma. Leo asubuhi kabla ya kuanza kwa kipindi cha maswali na majibu mbunge wa kuteuliwa Mama Salma Kikwete aliapishwa na kwenye kipindi cha maswali na majibu alipata nafasi ya kuuliza swali lake la kwanza muda mchache baada ya kula kiapo. Bonyeza play hapa chini kutazama
Mama Salma Kikwete ameuliza swali bungeni ikiwa ni swali lake la kwanza baada ya kula kiapo #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/3D3IshqZlE
— millardayo (@millardayo) April 4, 2017
VIDEO: Yakufahamu kutoka kwenye taasisi ya JMKF ya President mstaafu Kikwete, Bonyeza play hapa chini kutazama