Baada ya Shirika la Fedha duniani ‘IMF’ kutangaza kuongezeka kwa uchumi wa dunia ukilinganisha na mwaka 2016, leo April 8 2017 nakusogezea list ya nchi zenye mabilionea wengi zaidi duniani kwa mwaka 2017, kwa mujibu wa tovuti ya takwimu ya Statista.
Takwimu hizi zinaonesha China ndiyo nchi yenye mabilionea wengi duniani ambao ni zaidi ya 609 ikifuatiwa na Marekani yenye mabilionea 552. Katika list hii Sweden inakamata nafasi ya mwisho ikiwa na mabilionea 17.
VIDEO: Mtanzania Hellen aliyetajwa kwenye Jarida la Forbes. Bonyeza play kutazama.
BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo