Siku chache baada ya kutokea ajali mbaya ya basi lililoua wanafunzi zaidi ya 30, walimu wawili na dereva mmoja na kuwaacha wengine wakiwa majeruhi, hatimaye wasamaria wema kutoka Samaritan ya Marekani wametuma ndege maalum kuwachukua watoto hao na kuwapeleka Marekani kwa ajili ya Matibabu.
Ndege ya Samaritans Purse kutoka Marekani imefika uwanja wa KIA Tanzania kuwachukua watoto walionusurika kwenye ajali. #MillardAyoBREAKING pic.twitter.com/7xhWDbl4F3
— millardayo (@millardayo) May 13, 2017
VIDEO: Rekodi ya eneo walikopata ajali Wanafunzi Arusha… tazama hapa chini kwenye hii video