Harmorapa alianza kukiki kwenye mitandao kiutaniutani ambapo baadae Producer maarufu P Funk Majani alimuona na kukutana nae kwenye studio za Bongo Records, alimsifia kuwa anapenda kujifunza na ni mwepesi pale anapoelekezwa.
Sasa Harmorapa kaanza kuachia ngoma zake ambapo hapa kamshirikisha Ronei na Mkongwe mwingine wa Bongofleva Cpwaa, ukishaitazama hii usisahau kuacha na comment yako ili wakipita wajue Tanzania imewapokeaje kwenye hii.
VIDEO: Historia ya Harmorapa… anasema ‘nilifaulu sana hesabu ila English mmhhhh‘ Mtazame mwenyewe hapa chini
VIDEO: Harmorapa aongea ukweli kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake na mengine….. PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA