May 17, 2017 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage aliwasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 ambapo ameiomba kutengewa kiasi cha Tsh. 122.2b kama Bajeti kuu kwa matumizi ya kawaida na matumizi ya maendeleo.
VIDEO: Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya kuhusu Operesheni walioifanya