Mjadala wa leo bungeni umegusa Wizara ya viwanda na biashara kwa kiasi kikubwa mbapo Mbunge wa Kigoma Kaskazini Peter Serukamba alisimama na kutoa ya moyoni kuhusu anachokiona kwenye Serikali ya Tanzania na ambacho angependa kuona kinabadilishwa.
‘Ukombozi wowote una vita, vita hii isituumize‘ – Nape Nnauye….. kila alichosema kiko kwenye hii video hapa chini