Mchana wa May 31, 2017 iliripotiwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini Philemon Ndesamburo ambapo Story niliyo nayo ni Daktari aliyempokea katika Hospitali ya KCMC Moshi, mtoto wake mkubwa na baadhi ya viongozi wamezungumza kuhusu kifo hicho…
Taarifa hii imeripotiwa na Clouds Habari leo May 31, 2017…bonyeza Play hapa chini kutazama Full video..
VIDEO: Alichoongea Mbowe baada ya taarifa za kifo cha Ndesamburo