Ripoti iliyonifikia muda huu kutoka mkoani Manyara inaeleza kuwa watu watatu wamefariki dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Harmandos kukatika Steering Road na kutumbukia darajani, huko Haydom Mbulu.
AyoTV na millardayo.com imempata mkuu wa wilaya ya Mbulu, Chelestino Mofuga ambaye amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
VIDEO: Ulipitwa na hii ya ACACIA kukanusha kulipa hasara, Muswada wa sheria mpya ya fedha utakuaje? Bonyeza hapa chini kutazama