Saa 4 asubuhi leo June 27, 2017 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alifika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kuitikia wito wa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai ‘DCI’ kwa ajili ya mahojiano ambapo amekaa takribani saa 4 na miongoni mwa matukio yaliyojiri ni kuondolewa Waandishi katika eneo la tukio
Ulikosa hii ya Lowassa kufunguka na kumpongeza Rais Magufuli kuhusu ripoti ya Madini…bonyeza play hapa chini kutazama!!!