Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa jana June 26 2017 alipata wito kutoka kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI) kumtaka kufika Makao Makuu ya Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano.
Video hii inaonesha namna ulinzi ulivyokuwa nje ya Makao Makuu ya Jeshi la Polisi wakati Waziri Mkuu huyo wa zamani akihojiwa.
Meya afunguka baada ya kibao cha Victor Wanyama kung’olewa!!!