Hivi karibuni President Magufuli alieleza msimamo wake kuhusu wanafunzi ambao watapata ujauzito wakiwa shuleni kuwa hawatoruhusiwa kurudi kuendelea na masomo. Ishu hiyo imezidi kuzichukua headlines kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na leo Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amefafanua zaidi kuhusu kauli hiyo ya President Magufuli…..
>>>”Kuna upotoshaji, Rais alichokisema hawataendelea na mfumo rasmi wa elimu, akasema labda waende VETA na mimi nasimama na mheshimiwa Rais, mimi na timu yangu nimeshawaelekeza tunatekeleza kauli ya mheshimiwa Rais“-Waziri Ummy Mwalimu
UFAFANUZI: Wauza Unga kuishi kifahari gerezani, Sianga kutishiwa kifo, Bonyeza play hapa chini kutazama