Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo July 10, 2017 imeahirisha kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Wema Sepetu na wenzake hadi August 1, 2017 baada ya Wakili wa Serikali, Estezia Wilson kueleza kuwa Hakimu anayesikiliza kesi hiyo hayupo, hivyo kuomba iahirishwe.
Alichokisema Mbowe baada ya Halima Mdee kupata dhamana!!!