Hekaheka ya leo July 12, 2017 imemfikisha Geah Habibu Tandika DSM kwa mwanaume anayedaiwa kupokonywa mtoto na aliyekuwa mkewe na kupewa mwanaume mwingine huku akisema alikuwa anachepuka naye wakati yupo kwenye ndoa.
Baada ya kunyang’anywa mtoto mwanaume huyo alimtafuta mwanaume mwingine aliyepewa mtoto mbaye alidai alikabidhiwa na alikuwa na hakika ni wake ndipo mwanaume wa kwanza alipokwenda Polisi kisha Ustawi wa Jamii huku akitaka wakapime vinasaba ‘DNA’.
FULL STORY iko hapa…bonyeza PLAY kusikiliza!!!
Hekaheka: Sakata la Mama kujifungua na kugoma kutoka Hospitali limemfikia Mganga Mkuu
HEKAHEKA: Baba amfunga mwanawe kamba na kumfungia ndani siku nzima