Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kupitia Clouds FM saa 1:00 usiku hadi saa 3:00 usiku ikiwa na stori 10 kubwa za siku kutoka kwenye michezo, muziki, siasa na stori nyingine ambapo host wake ni mtu wako wa nguvu Millard Ayo.
Sasa kama July 12, 2017 ulipitwa nimekuwekea stori zote kubwa ambazo ni nafasi yako nyingine ya kipekee kuzipata hapa kupitia millardayo.com.
#AmplifayaUPDATES RC Mtwara, Halima Dendego amewaagiza ma-DC kuwakamata wanafunzi watakaobainika kuwa na ujauzito na kuwafikisha mahakamani pic.twitter.com/UFKQLJ1SZg
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES Dimpoz anatamani wasanii wa Bongo waache kuiga wanaNigeria, anasema tunaweza kutumia kiingereza kwa hiihii Bongofleva yetu pic.twitter.com/J7hzkk9UWt
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES "Madee amefanya nyimbo na Tekno, video iko tayari tunaangalia upepo wa wasanii wengi kutoa nyimbo"-Babu Tale pic.twitter.com/oyDka4KiJO
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES Marehemu Seth alijiita bikira wa kisukuma kwa kuwa aliamini kuwa bado alikuwa na vipaji vingi ambavyo alikuwa hajavitumia pic.twitter.com/FZkqWAKlo6
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES Unaambiwa wahenga ni watu walioishi muda mrefu na hawapo tena, mzee akiishi bila kuacha alama au busara sio muhenga
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES Upendo aliyetajwa na forbes kuwa kama milionea wa baadae, aliacha kazi ya zaidi ya milioni ili afanye biashara ya urembo pic.twitter.com/YPJA3Rgbex
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES "Neverregular ni brand yangu mwenyewe na bidhaa nyingine nyingi zitaendelea kutokea kwenye brand hiyo'-@GnakoWarawara pic.twitter.com/wProBinJ0F
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
#AmplifayaUPDATES "Sijawahi kuingiza nyimbo nyingi kwenye Chart za Radio, sifahamu sababu, nishajitoa kwenye huo ulimwengu'-@Izzo_bizness pic.twitter.com/j5KhOGn2bp
— millardayo (@millardayo) July 12, 2017
Tamko la CUF kuhusu hujuma zinazofanywa na CHADEMA!!!