Tetemeko la Ardhi la kipimo cha 6.7 limetokea katika Kisiwa cha Kos kilichopo Ugiriki mapema leo Ijumaa ambapo watu wawili wameripotiwa kufariki huku mamia wakijeruhiwa.
Mayor George Kyritsis aliiambia CNN kuwa watu hao wawili waliofariki ni kutoka nchi za Sweden na Uturuki huku watu watano wa Kos wakijeruhiwa vibaya.
Mashuhuda wasimulia tetemeko lilivyotokea Kagera!!!