Chama cha ACT Wazalendo kupita kwa Katibu wa Uenezi wa Chama hicho Ado Shaibu wamekutana na Waandishi wa Habari na kutoa taarifa juu ya hali ya upatikanaji, usambazaji na ugawaji wa pembejeo kwa wakulima wa Korosho.
Ado Shaibu amedai kuwa, awali Serikali ilisema kutokana na mauzo makubwa ya Korosho msimu wa 2016/17 itatoa pembejeo za kilimo hicho bure kwa wakulima lakini imekuwa kinyume kwa kuwa bado pembejeo zinauzwa akitolea mfano bei ya sulfur ambayo imefikia Tsh. 80,000.
EXCLUSIVE: Serikali ya Donald Trump yampeleka David Kafulila Marekani!!!