Shirika la maji safi na maji taka Dar es Salaam limezindua mfumo mpya ambao unalenga kumrahisishia mteja kupata na kutoa taarifa zinazohusu huduma hiyo kwa haraka zaidi ambapo unaambiwa huduma zote utazipata kupitia APP ya DAWASCO
Akizungumza na Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Teknolojia ‘TEHAMA’ wa DAWASCO, Kiula Kingu amesema lengo kuu la mfumo huo ni kumuweka mteja karibu kihuduma na kila mwananchi ana uwezo wa kutumia simu za mikononi nchini
ULIKOSA UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA AUGUST 8 2017? UNAWEZA KUIANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI