Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo August 10, 2017 ameeleza mipango waliojadili baada ya kukutana na Tajiri wa Dunia Bill Gates ambaye kupitia Taasisi yake ya Bill and Mellinda Gates ametenga Dola za Marekani Milioni 350 ambazo ni Tsh. Bilioni 777.084 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali katika sekta za Kilimo, Afya na Mifumo ya kielektroniki ya upatikanaji wa taarifa.
Kwa sekta ya Afya fedha hizo zitaelekezwa katika utekelezaji wa miradi zaidi ya afya ikiwemo kupunguza vifo vya uzazi, kukabiliana na ugonjwa wa malaria, kuimarisha lishe na kukabiliana na utapiamlo.
Tazama kwa kuplay video hii hapa chini kujua kila kitu!!!
ULIPITWA? Alichozungumza Bill Gates baada ya kukutana na Waziri wa afya wa Tanzania…tazama kwenye video hii hapa chini!!!!
Ulipitwa na hii? Polisi Dodoma kuhusu Mwanamke aliyeuawa na kutenganishwa kichwa